} });
 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 05 Oktoba, 2020 ametengua uteuzi wa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Ave Maria Semakafu.


Nafasi hiyo itajazwa baadaye, awali Naibu Katibu Mkuu huyo alitangaza kuwa Serikali imefuta mafunzo ya ualimu wa shule ya msingi na awali kwa ngazi ya cheti, badala yake mafunzo yataanzia ngazi ya Stashahada (Diploma).


soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top