Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Dkt. Edwin Mhede , amesema Serikali inapoteza zaidi ya Tsh. Bilioni 38 kwa mwaka kutokan...
WALIOTAKA KUTOROKA KWENDA AFRIKA KUSINI WAHUKUMIWA
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu Watanzania tisa kulipa faini ya Sh50,000 kila mmoja au kutumikia kifungo cha miezi mitatu jela...
DAKTARI ALIEMTIBU MARADONA ANACHUNGUZWA
Waendesha mashtaka nchini Argentina wanamchunguza Daktari wa, Diego Maradona(60) kwa uwezekano wa kuua kufuatia kifo cha nyota huyo wa soka ...
MKATABA WA MATUMIZI YA KISWAHILI KATKA SHULE AFRIKA KUSINI KUSAINIWA 2021
Ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini wapewa changamoto ya kuhakikisha kuwa unatekeleza Diplomasia ya Uchumi pamoja na Diplomasia ya Si...
VIDEO: MBUNGE WA ARUSHA MJINI GAMBO AMEONGEA NA WAANDISHI WA HABARI LEO
Mbunge wa Arusha mjijni Mrisho Gambo ameongea na waandishi wa habari ofisini kwake leo.
MADAKTARI WALIOTOA FIGO NA MAINI YA MAREHEMU WAHUKUMIWA
Watu sita wakiwemo Madaktari wamefungwa gerezani nchini China kwa kutoa viungo vya mwili kinyume cha sheria kwa watu waliofariki kutokana na...
TETESI ZA SOKA ULAYA JUMATATU TAREHE 30 NOVEMBA, 2020
Kiungo wa kati Mjerumani Sami Khedira, 33, anasema anaweza kuhamia katika Primia Ligi wakati mkataba wake na Juventus utakapoisha msimu huu.
RASHID CHARLES MBERESERO: MTANZANIA ALIYEFUNGWA KWA UGAIDI KENYA AJINYONGA GEREZANI
Mtanzania aliyehukumiwa kwa kuhusika katika shambulio la kigaidi lililotokea mwaka 2015 katika chuo kikuu kimoja nchini Kenya na kusababis...
MNYAMA ARARUA MTU NIGERIA, AMPIGA PLATEUA UTD 1-0
Mabingwa wa Tanzania timu ya Simba Novemba 29, imefanikiwa kushinda mchezo wake wa kwanza kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika ugenin...
PAPA DIOP AFARIKI DUNIA
Kiungo mkabaji wa zamani wa timu ya taifa ya Senegal Papa Bouba Diop ,42, amefariki dunia leo Paris nchini Ufaransa baada ya kuugua kwa mu...
JENERALI MABEYO ATUNUKIWA NISHANI MAALUM YA MLIMA KILIMANJARO
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi akipokea Nishani Maalum ya juu ya Mlima Kilimanjaro kutoka kwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Iringa, Baba Askofu Mstaafu ...
BAVICHA SHINYANGA WAMVAA MDEE NA WENZAKE, WATAKA WAKIOMBE RADHI CHAMA
Mwenyekiti wa Baraza la vijana (BAVICHA) Jimbo la Shinyanga mjini Samson Ng'wagi, katikati, akizungumza na waandishi wa habari, kushoto ...
WAPINZANI WA SIMBA WALIWAHI KUSHINDA 79-0, WAKAFUNGIWA
LIGI ya Mabingwa Afrika inatarajiwa kuanza wikiendi hii, ni michuano ya 25 tangu kuanzishwa kwa mfumo wa ligi hiyo unaotumika kwa sasa. Si...
HUU NDIYO MLIMA WA SIMBA CAF
MICHUANO ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu wa 2020/21 ambayo inaandaliwa na Shirikisho la Soka la Afrika (CAF), inatarajiwa kuanza wikiendi...
MPAMBANO WA MASUMBWI KATI YA TYSON, ROY JONES WAISHA KWA SARE
Mpambano wa masumbwi ambao ulikuwa wa hisani, baina ya Bingwa wa zamani wa Ndodi, Mike ‘Iron’Tyson dhidi ya Roy Jones Jr umeshindwa kumpa...
WANAWAKE WA SHOKA UPINZANI KARIBUNI CCM - DKT. BASHIRU (+VIDEO)
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi, Dkt. Bashiru Ally amewakaribisha wanawake kutoka vyama vya upinzania kujiunga na CCM kwa kile alichodai...
MALKIA ELIZABETH APIGA MARUFUKU WANAFAMILIA KUTUMIA MANENO HAYA NANE
Malkia Elizabeth wa Uingereza amepiga marufuku wanafamilia wa familia ya kifalme kutumia maneno nane ya kawaida ambayo anaona yanasusha ha...
TETESI ZA SOKA LEO JUMAPILI NOVEMBA 29, 2020
Arsenal iko tayari kumuuza winga wa Ivory Coast Nicolas Pepe ikiwa kutapatikana mnunuaji mzuri wa mchezaji huyo, 25. (Daily Star on Sunday)
WAZIRI MKUU APIGA MARUFUKU TOZO YA UNYAUFU
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaagiza waendesha maghala kuacha kukata tozo ya upungufu wa uzito wa korosho ghafi zilizohifadhiwa ghalani (u...
WAZALISHAJI WA MAFUTA YA KULA FUATENI KANUNI ZA UZALISHAJI - BW. SUDI
Wazalishaji na wasindikaji wa Mafuta ya Kula Mkoani Kigoma wametakiwa kufuata kanuni za uzalishaji bora ili kuweza kukuza biashara ya Mafu...
DKT. BASHIRU AWAKARIBISHA WALIOFUKUZWA UPINZANI
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi, Dkt. Bashiru Ally Kakurwa amewakaribisha wanawake kutoka vyama vya upinzania kujiunga na CCM kwa kile al...
SIMBA SC YATANGAZA MBINU YAKE DHIDI YA PLATEAU
Kocha wa Simba SC Sven Vandenbroeck, amesema katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya awali leo dhidi ya Plateau United, wataanza...
MWAKINYO APANDA VIWANGO, AMKARIBIA PACQUIAO
BONDIA namba moja nchini, Hassan Mwakinyo, ametajwa kuwa bondia wa nyota tatu duniani, akihitaji kutafuta nyota nyingine mbili ili kuingi...
IRAN KULIPIZA KIFO CHA MWANASAYANSI WA NYUKLIA, ISRAEL YATAJWA
RAIS wa Iran, Hassan Rouhani, amesema lazima walipize kisasi baada ya mwanasayansi wao wa nyuklia, Mohsen Fakhrizade, kuuawa huku wakiamini...
BOKO HARAM WAUA WAKULIMA 43 NIGERIA
Kundi la Boko Haram la Nchini Nigeria limewaua Wakulima 43 wa Jimbo la Borno katika mashamba yao ya mpunga yaliopo Zabrmari. Rais wa Nige...
MWENDESHA BAISKELI ALIELAWITI MTOTO AHUKUMIWA MAISHA GEREZANI
Mahakama ya Hakimu mkazi Mkoa wa Tabora imemuhukumu kifungo cha maisha aliyekuwa akifanyakazi ya kubeba abiria kwa njia ya baiskeli Mjini ...
“NDUGAI NI KAMA MGANGA ANAPOKEA WAGONJWA, WALE 19 SIO WABUNGE” MSEKWA
Spika Mstaafu wa Bunge, Pius Msekwa, amesema kwa mujibu wa katiba mpaka sasa Halima Mdee na wenzake 18, hawana tena sifa za kuwa wabunge kwa...
VIDEO: TAMKO LA BAWACHA JUU SAKATA LA AKINA HALIMA MDEE
Baraza la Wanawake wa CHADEMA wametoa tamko juu ya wenzao 19 walioapishwa kuwa Wabunge Viti Maalum, tazama video hapa chini.
VIDEO: WATUHUMIWA 26 WAKAMATWA KWA KUIBA VYUMA KWENYE SGR
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani Wankyo Nyigesa amesema wameendelea kukamata magari zaidi yenye vyuma chakavu kwa tuhuma za wizi katika ope...
VIDEO: RC CHALAMILA ASWEKA WATU SITA NDANI KWA KUGHUSHI SAHIHI ZA MAREHEMU
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila, Novemba 28 ameamuru kukamatwa kwa watu sita na kufikishwa Mahakamani baada ya kubainika kughushi sa...
KIONGOZI WA HONG KONG AFUNGIWA AKAUNTI YA BENKI NA MAREKANI
Kiongozi wa Hong Kong, Carrie Lam amefungiwa akaunti yake ya benki baada ya Marekani kumuwekea vikwazo vya kiuchumi, ikimuadhibu kwa kutanga...
“CHANJO ISITARAJIWE KUTOKOMEZA KABISA CORONA” WHO
Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) limesisitiza kwa mara nyingine tena kwamba inahitajika asilimia 60 mpaka 70 ya watu wapatiwe chanjo ili ...
RAIS MAGUFULI AMTEUA HUMPHREY POLEPOLE KUWA MBUNGE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli amefanya uteuzi wa wabunge wawili kwenye Bunge la Tanzania.
MDEE, WENZAKE WAINGIA MITINI, WADAIWA KUWAHI MAHAKAMANI
WAKATI Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imeanza kikao chake cha dharura, jijini Dar es Salaam, kujadili tuhuma z...