Mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Afrika Kusini, KRC Genk na Mamelodi Sundowns Anele Ngcongca ,33, amefariki dunia Novemba 23, 2020 kwa ajali ya gari nchini Afrika Kusini.
Taarifa zinaeleza kuwa Anele amepata ajali akiwa katika BMW ambayo ilikuwa ikiendeshwa na mwanamke ambaye yupo mahututi.
Facebook Blogger Plugin by TeachMaker
Post a Comment