} });
 

 

Mhubiri Shepherd Bushiri na Mke Wake Mary wamejisalimisha leo asubuhi kwa Vikosi vya Usalama Nchini Malawi ambako walikimbilia wakitoroka kesi ya kutakatisha fedha Nchini Afrika Kusini.

Wamechukua uamuzi huo kwa madai kwamba hawatatendewa haki kwenye kesi inayowakabili Afrika Kusini ya tuhuma za kutakatisha takriban Tsh. Bilioni 14.4.

Jana, Mahakama Kuu ya Afrika Kusini ilitoa waranti ya kukamatwa kwao kutokana na kukiuka masharti ya dhamana kwa kutoroka.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top