} });
 


Maofisa wa Ikulu na wasaidizi wakuu wa Rais Donald Trump wameelezea wasiwasi wao kuhusu ushindi wa kiongozi huyo na mpinzani wake Joe Biden wa chama cha Democrat.

Wakizungumza katika mahojiano na kituo cha televisheni kinachoitwa Daily Beast, maofisa wengi wa ikulu pamoja na washirika wa karibu wa Rais Trump wamesema wanatarajia Rais huyo atashindwa katika uchaguzi unaofanyika leo.

Wengi wao wamemtabiria ushindi mgombea wa Democrat Bwana Joe Biden, baada ya mwaka mmoja wa kampeni iliyoathiriwa na vifo vya vilivyosababishwa na maradhi ya Covid 19, uharibifu wa uchumi namachafuko ya ubaguzi wa rangi na hata miongoni mwa Wazungu wenyewe.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top