} });
 

 

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika (CAF),limeruhusu watazamaji kwenye mchezo wa kufuzu AFCON kati ya Tanzania na Tunisia utakaochezwa Novemba 17, 2020,  kwenye Uwanja wa Mkapa Dar es Salaam.

 

CAF imeelekeza kuwa idadi ya watazamaji  watakaoingia kuwa ni asilimia 50 ya uwanja sababu ikiwa ni kuzuia maambukizi ya ugonjwa wa COVID 19, TTF inawasiliana na serikali ili kukidhi matakwa ya CAF katika mechi hiyo.

 

Mechi ya kwanza dhidi ya Tunisia itachezwa Novemba 13, jijini Tunis.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top