} });
 


BARAZA la Mitihani la Taifa (Necta) Jumamosi tarehe 21 Novemba 2020, limetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la saba mwaka 2020.


Baraza la Mitihani nchini (Necta) limezifutia matokeo shule 38 za msingi kutokana na udanganyifu uliofanyika wakati wa mitihani ya taifa ya darasa la saba.


soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top