} });
 

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, na viongozi wenzake Godbless Lema  na Boniface Jacob, wameachiwa kwa dhamana katika Kituo cha Polisi cha Oyster Bay jijini Dar baada ya kukamatwa juzi na polisi wa tuhuma za kuandaa maandamano kupinga mchakato wa matokeo ya uchaguzi mkuu.

 

Mwenyekiti wa Chadema Kinondoni, Henry Kilewo, amethibitisha kuachiwa kwao.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top