} });
 


Jeshi la Polisi linamshikilia Mtuhumiwa,Mtumishi wa Idara ya Chumba cha Upasuaji katika hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Shinyanga. Madaraka Joseph (32) na Mmiliki wa Zahanati ya Suka (Suka Wazazi Dispensary) , kwa tuhuma ya wizi wa vifaa tiba zikiwemo mashine za kuangalia wagonjwa zenye thamani ya shilingi milioni 26 mkoani Shinyanga.

Kamanda Magiligimba amesema wizi huo ulitokea Oktoba 13,2020 na kwamba mashine mbili za kuangalia wagonjwa katika chumba cha upasuaji aina ya EDAN 1M8 na DATA SCOP 1 zenye thamani ya shilingi milioni 26 ziliibiwa na mtuhumiwa huyo.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top