} });
 


November 03, 2020 Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi amemteua Dkt. Mwinyi Talib Haji kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar.

Kabla ya Uteuzi huo Dkt. Mwinyi Talib Haji alikuwa Naibu Katibu Mkuu katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.

Uteuzi huo umeanza 03 Novemba, 2020.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top