} });
 


Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Wakala wa Mabasi yaendayo haraka Dar es Salaam (DART), imeeleza kuwa, njia ya Jangwani imefungwa kutokana na mafuriko ya maji hii leo Novemba 17, 2020, kuanzia saa 3:30 asubuhi, na huduma ya mabasi hayo inaendelea kupitia njia ya Kigogo na Mkwajuni.


“Njia ya Jangwani imefungwa kutokana na mafuriko ya maji leo, Jumanne, Novemba 17, 2020, kuanzia saa 3:30 asubuhi, huduma ya mabasi ya DART inaendelea kupitia njia ya Kigogo na Mkwajuni ili kufika Kariakoo, Kimara, Morocco, Kivukoni na sehemu nyingine za jiji la Dar es Salaam”.


soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top