} });
 


Mnada wa njiwa uliofanyika Online Ubelgiji jana jumapili umekamilika kwa njiwa aliyepewa jina la New Kim kuuzwa kwa USD Mil 1.6 sawasawa na Sh Bil 3.7 za Kitanzania, licha ya makadirio ya mwanzoni ya thamani yake kuwa USD 1. 5 Milion.

Kim ambaye ni njiwa wa kike mwenye umri wa miaka miwili ameivunja rekodi ya Duniani iliyokuwa inashikiliwa na njiwa wa kiume Armando ambaye aliuzwa kwa USD Mil 1.4 (Tsh.Bil 3.2) “tunaamini ni Rekodi ya Dunia haijawahi kutokea”

Njiwa huyo amenunuliwa na Wachina ambao ni Wateja wakubwa wa njiwa hawa na huwatumia mwenye mashindano ya mbio za njiwa ambayo huwaingizia Mabilioni ya pesa Wamiliki wa njiwa hao.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top