
Mgombea Urais nchini Uganda kupitia NUP, Robert Kyagulanyi au Bobi Wine na msafara wake wamelazimika kulala kwenye magari huko Migera
Katika Ukurasa wake wa Twitter, Bobi Wine ameandika Polisi walifunga njia zote zinazoelekea Hoima walipotaka kwenda kutumia usiku wao huko.
Pia amedai Polisi waliamrisha hoteli zote zisiwape vyumba hivyo walilazimika kulala barabarani kwenye magari yao.

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker
Post a Comment