} });
 

 

Leo November 12, 2020 Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Dkt. John Magufuli amependekeza jina la Mbunge wa Ruangwa Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu.

Majaliwa atadhibitishwa na bunge baadae kidogo ama kupitishwa au kukataliwa, iwapo Bunge litamdhibitisha basi itakua ni ngwe yake ya pili kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top