
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli amempongeza Rais mteule wa Marekani Joe Biden na makamu wake Kamala Harris kwa kushinda katika uchaguzi mkuu wa nchi hiyo huku akiwahakikishia ushirikiano wa Tanzania na Marekani.
Facebook Blogger Plugin by TeachMaker
Post a Comment