} });
 

 

RAIS John Magufuli amemteua Rais Mstaafu wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein, kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe akichukua nafasi ya Jaji Mstaafu Barnabas Samatta ambaye amemaliza muda wake.


Aidha  amemteua Dkt. Harrison Mwakyembe kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) akichukua nafasi ya Mariam Joy Mwaffisi ambaye amemaliza muda wake.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top