} });
 


Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Simon Sirro ametangaza kifo cha Naibu Kamishna wa Polisi, Dhahiri Kidavashari kilichotokea leo katika Hospitali ya Christian Medical Center Trust (DCMCT ) iliyopo Dodoma ambako alikuwa akipatiwa matibabu.

Kidavashari alishawahi kuwa Kamanda wa Polisi Mkoa Mbeya.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top