} });
 

 

Rais wa Marekani, Donald Trump amewazuia Viongozi wa Serikali yake kushirikiana na Rais Mteule, Joe Biden, Viongozi wa Trump wamepuuzia matokeo ya Uchaguzi yaliyomtangaza Joe Biden kuwa mshindi

Baadhi ya wanachama wa Republican pamoja na Kiongozi wa Baraza la Seneti, Mitch McConnell, wameunga mkono juhudi za Trump kupinga matokeo ya Uchaguzi.

Mfumo wa Wajumbe wa Uchaguzi umeratibiwa kutoa matokeo rasmi ya ushindi wa Biden, Desemba 14 na kuapishwa Januari 20, 2021.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top