} });
 

 

Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora limemkamata Mzee Said Abduratifu Tumain (67) kwa tuhuma ya kumbaka na kumpa ujauzito mjukuu wake (13) mwanafunzi wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Kizigo Manispaa ya Tabora

Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora Kamishma msaidizi wa Polisi Barnabas Mwakalukwa amesema Mama mzazi wa mtoto ndiye aliyegundua mabadiliko ya mtoto “Babu mtu anaenda kumpa ujauzito mjukuu wake lakini jeshi la polisi limemnasa kwa ushirikiano mzuri wa wananchi kutoa taarifa”.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top