
Katibu wa CCM Wilayani Kiteto mkoani Manyara, Daniel Mhina, amenusurika kifo wakati akiendesha gari kutoka kiteteto kuelekea Dodoma.
Mkuu wa Wilaya ya Kiteto, Kanali Patrick Songea, amethibitisha ajali hiyo amesema alikuwa peke yake kwenye gari na madaktari wanaendelea kumuhudumia.
Facebook Blogger Plugin by TeachMaker
Post a Comment