} });
 


Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila, Novemba 28 ameamuru kukamatwa kwa watu sita na kufikishwa Mahakamani baada ya kubainika kughushi sahihi za watu wawili waliofariki dunia na kuiaminisha Serikali kuwalipa fidia ya Sh. Mil. 108 katika eneo lenye mradi wa soko.

 

Chalamila amefikia hatua hiyo baada ya kufanya mkutano wa hadhara katika mtaa wa Ikuti kata ya Iyunga Jijini humo, ambapo kuliibuka mgogoro wa eneo la soko ambalo watuhumiwa walikuwa wakidai ni mali yao walikuwa wakimiliki na kujenga kilabu cha pombe cha wazee wakati huo jiji likiwa limewalipa milioni 17.


soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top