} });
 

 

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani Wankyo Nyigesa amesema wameendelea kukamata magari zaidi yenye vyuma chakavu kwa tuhuma za wizi katika operasheni dhidi ya wahujumu miundombinu ya Serikali kama reli ya kisasa, miradi ya maji na barabara.

“Watu wasio waaminifu wakatili na wanyanyasa sasa wameingia kwenye miundombinu wakiiba vyuma chakavu,  wanatoa kwenye SGR na reli, tumekamata watuhumiwa 26 wakisafirisha vyuma chakavu” RPC Pwani 

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top