} });
 


Ofisi ya Bunge imetoa maelekezo kwa wabunge wateule wanaotarajiwa kuapishwa kuanzia Novemba 10 hadi 12, 2020 jijini Dodoma, kuambatana na wageni wasiozidi ishirini.

Kikao cha kwanza cha mkutano wa kwanza wa Bunge la 12 kinatarajiwa kuanza Novemba 10 mwaka huu kama ilivyotamkwa kwenye tangazo la Rais ambapo katika mkutano huo shughuli sita zitafanyika.

Kwa taarifa zaidi soma hapo chini taarifa ya Bunge imeeleza.


soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top