} });
 

Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Wakimbizi (UNHCR) limesema wananchi 3,600 wamekimbia nchini Ivory Coast kutokana na hofu ya kutokea machafuko baada ya Uchaguzi Mkuu.

UNHCR imesema idadi iliongezeka mara baada ya mchakato wa upigaji kura uliofanyika Oktoba 31 ambapo Rais Alassane Ouattara aliyewania kwa muhula wa tatu alitangazwa mshindi.

Shirika hilo linasema Liberia ambayo inaimarika kutoka kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe haina uwezo wa kupokea wakimbizi.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top