Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Mwinyi ameitaka Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu wa Uchumi Zanzibar (...
MWANAHARAKATI AHUKUMIWA KWENDA JELA MIAKA 6
Mahakama moja nchini Saudi Arabia imemhukumu mwanamke mwanaharakati wa haki za binadamu, Loujain al-Hathloul kutumikia kifungo cha miaka sit...
TRUMP AMEHARIBU IDARA MUHIMU ZA USALAMA
Rais mteule wa Marekani, Joe Biden amesema vitengo muhimu vya usalama vimefanyiwa uharibifu mkubwa chini ya utawala wa Rais Donald Trump. ...
HAWA NDIO WATU 10 MATAJIRI ZAIDI KUWAHI KUISHI DUNIANI
MWANZILISHI wa kampuni la Amazon, Jeff Bezos, ndiye mtu tajiri zaidi duniani kwa sasa, kulingana na orodha ya jarida la Forbes la 2019 iliy...
RAIS JPM ATUA MWANZA, ATOA MAAGIZO MAZITO
RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amewataka Watanzania kuzitumia mvua zinazoendelea kunyesha kwa kulima mazao y...
DK. GWAJIMA ARIDHISHWA UZALISHAJI DAWA KIWANDA CHA KEKO
WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima, ameridhishwa na uzalishaji wa dawa katika kiwanda cha daw...
MWANDISHI ALIERIPOTI MLIPUKO WA CORONA CHINA AHUKUMIWA
Mwanahabari wa China amefungwa jela miaka minne kwa kuripoti kutokea Wuhan wakati mlipuko wa Covid-19 ulipoanza, ikiwa ni mwaka mmoja baada ...
SAKATA LA BANDO NA VIFURUSHI VYA SIMU WAZIRI AWAVAA TCRA “WATANZANIA SIO WAJINGA"
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk. Faustine Ndugulile ametoa miezi mitatu kwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ku...
VIDEO: AIS MAGUFULI AMTUMBUA MKURUGENZI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga Mkoan...
SIMBA ALIETISHIA MAISHA YA WANANCHI AUAWA
Askari wa Wanyamapori toka Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) kituo cha Mapori ya Akiba Lukwati/Piti Disemba 25, 2020 walip...
TRUMP ASAINI MUSWADA WA DOLA BILIONI 900
Rais wa Marekani Donald Trump ameusaini muswada wa sheria wa dola bilioni 900, unaokusudia kutoa misaada kwa watu walioathiriwa na janga la ...
CHANJO INAYOWEZA KUTOA KINGA YA CORONA KWA ASILIMIA 100%
Chanjo inayotengenezwa na Kampuni ya Dawa ya Astra Zeneca kutoka Uingereza pamoja na Chuo Kikuu cha Oxford imepata mafanikio makubwa katika ...
MWINYI AAGIZA MAJENGO HATARISHI YAFUNGWE
Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi, ameziagiza Mamlaka zinazoshughulikia nyumba zilizopo Mji Mkongwe kuyabaini na kuyafunga majengo yot...
MADUKA ZAIDI YA 10 YATEKETEA KWA MOTO (+PICHA)
Kutoka Kagera tumeamka na hii taarifa ya moto kuunguza maduka zaidi ya 10 na kuteketeza baadhi ya vitu katika majengo yanayomilikiwa na Fami...
MFUNGWA AJIKATA UUME GEREZANI
Mfungwa mmoja Nchini Hispania amejikata uume wake baada ya kuambiwa kuwa Mkewe amegoma kumtembelea Gerezani kama Wafungwa wenzie walivyote...
WAZIRI MKUU ATUMBUA VIGOGO TPA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwenda kufanya ukaguzi maalum katika bandari za ...
KAMPENI ZA UCHAGUZI UGANDA ZASIMAMISHWA
Tume ya Uchaguzi nchini Uganda imesimamisha kampeni katika maeneo ya mijini yenye idadi kubwa ya watu kutokana na kuongezeka kwa maambukiz...
SIRI KUFURU YA PESA YA DIMPOZ
Supastaa wa Bongo Fleva, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’, amefichua siri juu ya kufuru zake za pesa. Dimpoz amekuwa akila bata za hatari kwen...
RAGE: YANGA KWA MORRISON WANAPOTEZA MUDA TU
MWENYEKITI wa zamani wa Klabu ya Simba, Ismail Aden Rage amefunguka kuwa Yanga kuendelea kung’ang’ania suala la Morrison kwenye Mahakama y...
WATATU WAKAMATWA KWA KUJIHUSISHA NA QNET
Jeshi la Polisi Wilayani Musoma Mkoani Mara linawashikilia watu wanne kwa kujihusisha na Mtandao wa Kampuni ya QNET na kutapeli watu. Mkuu w...
JUMBA LA KIFAHARI LA MICHAEL JACKSON LAUZWA BILIONI 51
Jumba kubwa la kifahari la Neverland alilokuwa akiishi Mfalme wa Pop marehemu Michael Jackson huko Los Olivos, California limeuzwa kwa ...
NIGERIA YARIPOTI AINA MPYA KIRUSI CHA CORONA
Afisa mkuu wa afya katika taasisi ya kukabiliana na maradhi ya kuambukiza barani Afrika John Nkengasong amesema aina nyingine mpya ya kirusi...
SIMBA WARUDI NA KIUNGO WA FC PLATINUM
JINA la kiungo mshambuliaji wa FC Platinum, Perfect Chikwende limeingia kwenye orodha ya wachezaji wanaowaniwa na timu hiyo katika usajili h...
ERIC OMONDI AKWAA SKENDO KUDHALILISHA WANAWAKE KINGONO
HATIMAYE mchekeshaji Eric Omondi amejipatia jiko ambalo ni mrembo anayefahamika kwa jina la Carol , kupitia ‘The Wife Material Show’ k...
MTOTO WA P FUNK AMPONZA DIMPOZ
MTOTO wa prodyuza maarufu hapa nchini anayemiliki studio ya Bongo Record, Paul Matthysse ‘P Funk’, Patricia, amemponza msanii wa Bongo ...
ASKARI POLISI ALIYEFUMANIA NA KUMJERUHI JAMAA GESTI AKAMATWA
Kaimu Kamanda wa Polisi mkoa wa Ruvuma, ACP Pili Mande. Jeshi la polisi mkoa wa Ruvuma, linamshikilia Askari Polisi Keneth Mkwela, kwa kosa ...
ADAIWA KUMCHINJA KAKA YAKE AKIMDAI SH LAKI 7
Polisi wilaya ya Serengeti mkoani Mara wanamshikilia Juma Masiaga (38) mkazi wa kijiji cha Kitunguruma kwa tuhuma ya kumchinja kaka yake, C...
MCHUNGAJI BILLIONEIRE APANDISHWA MAHAKAMANI KISUTU
Mchungaji wa Kanisa la Shalom Internation lililopo Sinza jijini Dar es Salaam, Billioneire Mkeu miaka(44) amefikishwa katika Mahakama ya Hak...
NGUZO YA TANESCO YAANGUKA BARABARANI KIJITONYAMA, WANANCHI WAOMBA KUONDOLEWA HARAKA
Nguzo ya Shirika la Umeme(Tanesco) ikiwa imeanguka eneo la karibu na Shule ya Msingi ya Sinza Maalum jijini Dar es Salaam. Wananchi wanaoi...
WALIOMUUA ALPHONCE MAWAZO WAHUKUMIWA KIFO
Washtakiwa wanne kwenye kesi ya mauaji ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoani Geita wamepewa Hukumu y...
TANZIA: GODFREY MUNGEREZA WA BASATA AFARIKI DUNIA
Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa Tanzania ( BASATA ) Godfrey Mungereza amefariki leo (jana) Dodoma, Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Ut...
UGANDAN CLERGY ASKS STATE TO POSTPONE ELECTION, LET YOWERI MUSEVENI RULE LONGER
Archbishop of Kampala Dr Cyprian Kizito Lwanga . Uganda's clergy, led by the Archbishop of Kampala Dr Cyprian Kizito Lwanga, has asked ...
SEE YOU IN COURT: DORCAS MWENDE SAYS SHE'S READY TO FACE MOTHER
Dorcas Mwende has no regrets. In fact, she cannot wait for the fresh trial that will examine her alleged defilement by her father, Julius Wa...