} });
 

 

Mshambuliaji wa FC Lupopo ya DR Congo, Mpiana Mozinzi, amejiunga na Klabu ya Azam ya jijini Dar es Salaam, akitarajia kuasaini mkataba wa mwaka mmoja kesho.

Mozinzi alihusishwa kutua Yanga na Simba katika kipindi cha dirisha kubwa msimu huu, lakini dili hizo hazikufanikiwa.

Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa Azam FC, Zakaria Thabiti, amesema mchezaji huyo amewasili nchini leo mchana na atafanyiwa vipimo vya afya, akifanikiwa ataanza kuitumikia rasmi timu hiyo.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top