} });
 


Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, amefanya ziara ya kushtukiza usiku wa kuamkia leo (jana Disemba 21, 2020), kukagua zoezi la uchimbaji wa visima vya maji pembezoni mwa jiji la Dodoma ili kutatua changamoto za upatikanaji wa maji safi katika jiji hilo.

Akiwa katika mradi huo Aweso amesema ameamua kufanya ziara hiyo kuona kama agizo lake la uchimbaji visima usiku na mchana kama linatekelezwa.

Aidha amemuagiza Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Antony Sanga, kuhakikisha anasimamia zoezi hio sambamba na kuongeza uchimbaji visima vingine viwili ili kufikia idadi ya visima vitatu.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top