} });
 


Mahakama Zanzibar imemuachia huru aliyembaka Mwanae kisa binti kazoea kuingiliwa, hayo yamejiri katika kesi ya Salim Khamis Ali (43) aliyembaka binti yake wa kumzaa mwenye miaka chini ya 13 na kuachiwa huru Desemba 7, 2020.

Katika kesi hiyo, Mahakama imesema kuwa inamuachia huru Salim Khamis kwa kuwa daktari alithibitisha kuwa si mara ya kwanza kwa binti huyo kuingiliwa, ilionekana kazoea.

Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWA, ZNZ) kimesema hakiridhishwi na Hukumu za Kesi zinazohusu Ukatili wa Watoto Kisiwani humo.

Hata hivyo, TAMWA-ZNZ imesema, Mahakama haikuzingatia kwa Mujibu wa Sheria mtoto chini ya miaka 18 hana ridhaa ya kufanya maamuzi ya kimapenzi.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top