} });
 


Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Innocent Bashungwa akiwa pamoja na Naibu wake Ulega amesema utetezi wa kazi za wasanii ufanyike wakati wakiwa hai.

Bashungwa ameyasema hayo alipofanya ziara Bodi ya Filamu “Si vizuri Msanii akafanya kazi yake lakini wakati wa uhai wake tukawa hatuko nae katika kutetea haki zake, tunasubiri mtu akifa ndio tuanze kuhangaika kutetea haki zake, tunataka utetezi wa Wasanii kwa nguvu zote ufanyike wakati yupo hai” Waziri Bashungwa

NGUVU YA SHUKRANI by MTU WA MUNGU JOVIN MWEMEZI

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top