} });
 


Chanjo inayotengenezwa na Kampuni ya Dawa ya Astra Zeneca kutoka Uingereza pamoja na Chuo Kikuu cha Oxford imepata mafanikio makubwa katika hatua ya majaribio na ipo tayari kwa matumizi.

Kwa mujibu wa Mkuu wa Kampuni hiyo, chanjo inaweza kutoa kinga kwa 100% dhidi ya COVID19 baada ya mtu kupatiwa dozi mbili.

Hivi sasa Chanjo ya AstraZeneca inafanyiwa tathmini na Taasisi ya Udhibiti wa Dawa ya Uingereza. Imeelezwa, ina ubora sawa na zile ya kampuni za Pfizer-BioNTech na Moderna ambazo tayari zimeanza kutumika.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top