} });
 

 

Rais Xi Jinping wa China amesema, baada ya juhudi za miaka minane, China imetimiza lengo la kutokomeza umaskini katika zama mpya kwa wakati uliopangwa, na kuwafanya watu wote maskini vijijini kuondokana na umasikini chini ya kigezo kilichopo.

Rais Xi pia amesema, kaunti zote zilizowekwa kwenye orodha ya umaskini zimeondolewa kwenye orodha hiyo, huku watu karibu milioni 100 wakiondokana na umaskini, hivyo kupata ushindi mkubwa unaoshangaza dunia nzima.

Rais Xi pia amesema, hivi sasa suala la kutokuwa na uwiano na maendeleo duni bado linaonekana, kazi ya kuimarisha na kupanua mafanikio ya kuondoa umaskini itakuwa ngumu.

NINI MAANA YA AHADI ZA MUNGU KWAKO by MTU WA MUNGU JOVIN MWEMEZI

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top