} });
 


Mtendaji Mkuu wa (TANROADS), Mhandisi Patrick Mfugale amelibadilisha jina Daraja la Busisi lililoko mkoani Mwanza na kuliita ‘JP Magufuli Bridge’ mara baada ya kufanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wake.

Ujenzi wa daraja hilo unatekelezwa na kampuni ya China Civil Engineering Group Limited kutoka nchini China na litakuwa na Kilometa 3.2 ambapo ujenzi wake unatarajiwa kukamilika mnamo mwaka 2024.soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top