} });
 


Mchekeshaji ambaye ni Mshindi wa Big Brother 2014, Idris Sultan, amejikuta akidaiwa pesa jukwaani na baadhi ya mashabiki waliohudhuria kwenye mchakato wa BSS unaondelea.

 

Mashabiki hao walifanya hivyo baada ya Idris kuchikichia pesa za washiriki walizotunzwa walipokuwa wakiimba jukwaani.

 

Mashabiki hao walikuwa wakipaza sauti kumtaka Idris kuwapa wahusika pesa hizo, lakini mwenye alijifanya kama vile hawasikii.

 

Hata hivyo, baadaye Idris alijitetea; “Watu wamekuja hapa kuimba, siyo kazi yao kuchukua pesa zinazotunzwa.”

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top