} });
 


Katika harakati za kupambana na Ugonjwa wa corona, Kenya imeagiza dozi Milioni 24 za Chanjo ya Corona Virus zitakazotosha 20% ya Wakenya.

Dozi hizo zinagharimu Ksh. Bilioni 10 sawa na takriban Tsh. Bilioni 207.83, kiasi ambacho kitachangiwa na Mataifa yaliyoendelea hivyo kila dozi itagharimu Ksh. 320 sawa na Tsh. 6,600.

Katibu Mkuu wa Afya, Patrick Amoth amesema Wafanyakazi waliokuwa kwenye hatari ya kupata maambukizi pamoja na Wazee watapatiwa Chanjo hiyo.

Kenya inakuwa nchi iliyoagiza dozi nyingi zaidi kwa nchi za Afrika Mashariki, Uganda iliagiza dozi Milioni 9.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top