} });
 

 

“Wizara sasa imepata watu ambao wanaifahamu, eneo hili mh rais sio eneo la mzaha mzaha sana, kwa hiyo yaliyotokea juzi siyo tu Lindi bali tuendele kumuombea kijana wetu,(Ndulane) naamini bado unaweza ukaangaliaangalia, lakini niendelee kusema tu kwamba Wizara ya Madini sasa imepata watu ambao wanaifahamu” Waziri Mkuu Kassi Majaliwa.

Waziri Mkuu Majaliwa ameyasema hayo leo Desemba 11, kwenye hafla ya kumuapisha Naibu Waziri wa Madini, Prof.Shukurani Manya aliyeteuliwa kuchukua nafasi ya, Francis Ndulane aliyeshindwa kuapa juzi na uteuzi wake kutenguliwa.

“SIKUPANGA MIMI NI MAJALIWA YA MUNGU” - PROF. MANYA BAADA YA KULA KIAPO

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top