} });
 


POLISI Kanda Maalum ya Dar es Salamaam imesema mfanyabiashara aliyefahamika kwa jina la Nasir Shabani (51) amejiua kwa kujipiga risasi kwa kutumia bastola aina ya Revolver.

 

Tukio hilo limetokea jana usiku maeneo ya Ubungo-Kibangu na kwa mujibu wa mashuhuda, imeelezwa kuwa marehemu alijiua kutokana na msongo wa mawazo.

 

Katika tukio lingine,polisi pia imethibitisha kuuawa kwa jambazi ambaye alikuwa akishirikiana na wenzake wawili waliofanikiwa kukimbia baada ua kufanya uhalifu jijini Dar na mikoa ya jirani.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top