} });
 

 

Mfungwa mmoja Nchini Hispania amejikata uume wake baada ya kuambiwa kuwa Mkewe amegoma kumtembelea Gerezani kama Wafungwa wenzie walivyotembelewa.

Mfungwa mwenzake alimsaidia kwa kutoa taarifa kwa Askari baada ya kumkuta anavuaja damu na akawaishwa Hospitali ambapo bado haijafahamika kama kipisi kilichokatika kimeweza kuunganishwa.

Mfungwa huyo amenukuliwa akisema “kinachofanya niitwe Mwanaume ni hiki kama Mke wangu ananidharau hakina maana kuendelea kuwa nacho bora kukikata”

Siku kadhaa zilizopita mfungwa mwingine Hispania aliripotiwa kujikata sikio na kisha kulitafuna sikio hilo kama nyama.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top