} });
 


MISS Mwanza na mshiriki wa Miss Tanzania 2010, Lucy Charles, amefunguka kwamba yeye hajatumika sana kwa wanaume ili kupata michongo ya kufanya ishu zingine ambazo zitamuwezesha kwenye maisha.

 

Miss Lucy Charles amesema kuwa jamii inatakiwa kuelewa kwani unaweza ukatumika kwa wanaume na bado usifanikiwe na kupata maendeleo yoyote japo yeye haamini katika hilo.

 

“Mimi sijatumika lakini siamini kama mtu anaweza akafanikiwa kwa sababu ya kutumika, pia unaweza ukatumika na usifanikiwe; jamii inatakiwa ielewe kwani hiyo ni tabia ya mtu, sio lazima uwe staa.  Unaweza ukatumika hata mtu wa kawaida na usipate maendeleo, naamini kwenye kufanya kazi na kutokata tamaa,” amesema.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top