} });
 

 

Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi, ameziagiza Mamlaka zinazoshughulikia nyumba zilizopo Mji Mkongwe kuyabaini na kuyafunga majengo yote yaliyo kwenye hali isiyoridhisha ili kuepusha madhara yanayoweza kujitokeza.

Amesema, ni vema kazi ya kuyabaini majengo hayo ya zamani ikafanyika haraka, kwasababu hataki kusikia tukio la kuporomoka kwa jengo linatokea tena.

Watu wawili wamafariki Dunia na wengine wanne kujeruhiwa baada ya sehemu ya jengo la kihistoria la Beit Al-Ajaib kuporomoka siku chache zilizopita.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top