} });
 


NI leo Desemba 16, 2020 ambapo mwigizaji Dokii alizua gumzo kwenye msiba wa Mzee Jengua baada ya kutaka kupigana na mwigizaji mwenzake.Sasa Ayo TV & millardayo.com ilifanikiwa kumpata staa huyo na kufunguka.

Unajua huu msiba ni wetu sote hivi ni sahihi msanii katoka nyumbani kajipodoa na kukataa kuingia jikoni kwa hili limeniuma sana, na hapo imeshatangazwa kuwa mwili wa marehemu unakaribia kuja hapa Mburahati‘- Dokii

‘Sasa mimi kwenda kuwaomba wasanii wenzangu waliokaa waingie jikoni kuna mmoja akanijibu vibaya mpaka kunitukana nikampa onyo lakini  bado anaendelea kunitukana sasa nilitaka kumfundisha adabu na ndio chanzo hicho’– Dokii

‘Yeye si alitaka kutrend sasa mimi nilitaka kumfunza adabu jamani wasanii tutasemwa mpaka lini na tabia ya kukaa bila kujishughulisha tubadilike jamani’- Dokii

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top