} });
 


December 03, 2020 Rais wa zamani wa Ufaransa, Valery Giscard amefariki dunia kutokana na ugonjwa wa virusi vya corona akiwa na umri miaka 94.

Giscard alikuwa akisumbuliwa na magonjwa mbalimbali na kupelekea kulazwa mara kadhaa hivi karibuni, alifariki jana kwenye nyumba yake Mkoa wa Loire, akiwa amezungukwa kitandani na familia yake.

Tayari Rais wa Ufaransa, Emmanuel Marcon ameto salamu zake za pole huku akimtaja kiongozi huyo wa zamani wa taifa hilo kuwa katika miaka yake saba ya uongozi alifanikiwa kuibadilisha ufaransa kwa kiasi kikubwa.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top