} });
 


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi amemteua Maalim Seif Sharif Hamad kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar. Uteuzi huo umeanza jana Disemba 6, 2020.

 

Hii imekuja baada ya Chama cha ACT Wazalendo kuridhia kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) Zanzibar, na kiwaruhusu Wawakilishi na Wabunge walioshinda kuwawakilisha wananchi waliowachagua kwenye Baraza la Wawakilishi na Bunge la Tanzania pamoja na madiwani.
soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top