} });
 

 

Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amevunja Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Meli na Uwakala, taarifa iliyotolewa leo Jumanne Desemba 15, na Katibu Kiongozi, Dk Abdulhamid Mzee imeeleza kuwa kuvunjwa kwa bodi hiyo kunatokana na Serikali kutoridhishwa na uendeshaji na utendaji wa Shirika hilo.
soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top