} });
 

 

Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa Tanzania (BASATAGodfrey Mungereza amefariki leo (jana) Dodoma, Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo ambae pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali Dr. Hassan Abbasi ameithibitisha.

“Ni kweli alikua amelazwa Hospitali hamna mwenye taarifa za ziada hadi sasa, ni kweli amefia Hospitali na alikua anaumwa hata muda mimi sijui, mwenyewe nimeshtushwa” – Dr. Abbasi

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top