} });
 

 

Jeshi la polisi mkoani Arusha kupitia kwa kamanda Salumu Hamduni, linamshikilia mwenyekiti wa mtaa wa malula wilayani Arumeru kwa tuhuma za kumpiga kwa kumshambulia kijana edward Msemakweli sehemu mbalimbali za mwili wake ikiwemo sehemu za siri na kwenye tumbo nakumsababishia majeraha.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top