} });
 

 

Wizara ya Maliasili na Utalii imebaini kuibuka kwa wimbi jipya la ujangili wa Tembo ambapo baadhi ya watu wamekuwa wakishawishiwa kuwa maini na mafuta yatokanayo na wanyama hao hutibu magonjwa mbalimbali ikiwemo kansa na vidonda vya tumbo jambo ambalo halina ukweli.

Naibu katibu mkuu wa wizara hiyo ambaye pia ni kamishna wa uhifadhi nchini Dr. Allan Kijazi amesema Serikali itachukua hatua kali kwa wahusika wote watakaobainika kujihusisha na ujangili huo.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top