} });
 

 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Juma akimuapisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Hussein Ali Mwinyi kuwa Mjumbe wa Baraza la Mawaziri ambapo atashiriki Kikao cha Kwanza cha Baraza la Mawaziri leo Ikulu Jijini Dodoma.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top