} });
 

 

Polisi Mwanza wamewakamata Watu wawili wanaojifanya wanatoka Idara ya Usalama wa Taifa Kitengo cha Kikosi Maalum na undercover Usalama wa Taifa.

“Huyu wa pili alikua na kitambulisho chenye code number MT 822863, baada ya kuhojiwa na wote wameonekana ni Matapeli na wamekua wakiwatisha Wananchi na kuwadai pesa, Wananchi msiache kutoa taarifa za Watu kama hawa na tu tatu za siri za watoa taarifa” – RPC Muliro Jumanne

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top