} });
 

 

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kwa kushirikiana na Idara ya Uhamiaji limefanikiwa kuwakamata wahamiaji haramu 57 wote raia wa Ethiopia kwa kosa la kuingia nchini bila kibali.

Jeshi la Polisi lilipata taarifa toka kwa raia wema kuwepo kwa watu wanaowatilia mashaka huko Kijiji cha Bulongwe kilichopo Kata ya Masoko, Tarafa ya Pakati, Wilaya ya Rungwe na kisha kufanya ufuatiliaji na ndipo tulifanikiwa kuwakamata raia 57 wa Ethiopia pamoja na wenyeji Watanzania wawili.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top