} });
 

 

Waziri wa Nchi OR-TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Geita Ndg. Modest J. Apolinary kupisha uchunguzi na amemuagiza Katibu Mkuu Eng. Joseph Nyamhanga kutuma Timu kuchunguza matumizi ya Fedha za Halmashauri hiyo.

soma habari kila siku kazi yetu ni kuhakikisha unapata unachotaka +255 769 305 957 #NURU YA KRISTO INAKUANGAZIA

Facebook Blogger Plugin by TeachMaker

Post a Comment

 
Top